sayamac

Mahitaji yako, wataalamu wako — mahali pamoja.

SAYAMAC inakuunganisha na mafundi, wauzaji na watoa huduma walio karibu nawe, pamoja na taarifa za kukusaidia kuamua kwa usalama.

Mtaka Huduma

Eleza unachohitaji, chagua mtoa huduma, fuatilia hadi kazi ikamilike.

Mtoa Huduma

Onekana kwa wateja wanaohitaji ujuzi wako, bila kutegemea kujuana.

Muuzaji

Tangaza bidhaa zako, pokea oda na quotation ndani ya mfumo mmoja.

Anza sasa

Tangaza ujuzi wako na upokee maombi.

Anza sasa